Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
acha bana mbona mm naifungua inafunguka...unajikosesha vitu vzr shauri yako
fanya kunitumia wasap nikachague huko
acha bana mbona mm naifungua inafunguka...unajikosesha vitu vzr shauri yako
fanya kunitumia wasap nikachague huko
poa nitakutumia jioni...
Enhe, nipe muhtasari.:confused2:
Angalau kangekuwa ka Vitz New Model ningeweza kumvumilia. Simu?? Tupa kule mzembe huyo!!eti kuna mtu anataka kunihonga sim
Angalau kangekuwa ka Vitz New Model ningeweza kumvumilia. Simu?? Tupa kule mzembe huyo!!
Hapo red hebu niite kwa kiswahili baioloji yangu isimame....Ha ha ha asante bebi
Hapo red hebu niite kwa kiswahili baioloji yangu isimame....
Duh.... moto tena? Kweli imekula kwangu mazima...asante motto mzuri ha ha ha ha ha ha
Duh.... moto tena? Kweli imekula kwangu mazima...
Asa utoto wangu uko wapi mpenzi?Nilimanisha mtoto
Asa utoto wangu uko wapi mpenzi?