Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
- Thread starter
- #21
Hayambembwe tu ngozi ya binadamu iko perfect inafanya kazi vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayambembwe tu ngozi ya binadamu iko perfect inafanya kazi vizuri sana
Uzuri wa shower gel unaweka kwenye sinki la kuogea lakini sio kwa kuoga kwa kujimwagia maji kwa kopoHabari, karibuni shower gel (sabuni ya maji yakuogea)
Napatikana dar ubungo delivery ipo
Only 15000/=
Call 0714547830![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4] [emoji4] unaenda bafuni na ndoo mbiliUzuri wa shower gel unaweka kwenye sinki la kuogea lakini sio kwa kuoga kwa kujimwagia maji kwa kopo
Bubble bath.ukioga ndani ya bathtub maji yako ukiyatia Sabuni ya bubble bath yanatoa mapovu mengi tofauti na shower gel ingawa nayo ina mapovu.disadvantage ya hizo sabuni unatumia maji mengi kuhakikisha ngozi yako haijabaki na sabuni.unajikuta unajisugua wee sabuni ipo mwiliniShower gel na Bubble Bath zina tofauti gani?
Nashukuru sana kwa maelekezo.Bubble bath.ukioga ndani ya bathtub maji yako ukiyatia Sabuni ya bubble bath yanatoa mapovu mengi tofauti na shower gel ingawa nayo ina mapovu.disadvantage ya hizo sabuni unatumia maji mengi kuhakikisha ngozi yako haijabaki na sabuni.unajikuta unajisugua wee sabuni ipo mwilini