Mwenyewe nipo mkoani kaka Tena mbeya lakini hiyo bei siafiki kabisa ardhi imepanda bei saana
Mwenyewe nipo mkoani kaka Tena mbeya lakini hiyo bei siafiki kabisa ardhi imepanda bei saana
Mbeya ni ukanda wa kilimo bei haiwezi kuwa ndogo.Mwenyewe nipo mkoani kaka Tena mbeya lakini hiyo bei siafiki kabisa ardhi imepanda bei saana
Asee sawa kijanaMbeya ni ukanda wa kilimo bei haiwezi kuwa ndogo.
Kuna vijiji Tz hii hadi 50 unapata
Nikweli natena kwa usawa wasasa itapungua tuKaka lipo shamba Dabaga Iringa Heka 200....linauzwa,kila heka Tsh 100,000/= nikaona naibiwa hapo,nikaomba maelekezo ya eneo lilipo shamba,nikafunga safari kwa siri....kufika huko ni kijiji kizima being ni 80,000/= mpaka 60,000/= kwa hiyo being niliyoogopa ni kubwa kwa huko.....mkuu sio hivyo unavyozani,kupanda kwa Ardhi kupo ila sio Vijijini
bora ulifuatili aiseeKaka lipo shamba Dabaga Iringa Heka 200....linauzwa,kila heka Tsh 100,000/= nikaona naibiwa hapo,nikaomba maelekezo ya eneo lilipo shamba,nikafunga safari kwa siri....kufika huko ni kijiji kizima being ni 80,000/= mpaka 60,000/= kwa hiyo being niliyoogopa ni kubwa kwa huko.....mkuu sio hivyo unavyozani,kupanda kwa Ardhi kupo ila sio Vijijini