Nauza shamba Morogoro eka 20

Nauza shamba Morogoro eka 20

Tuwe serious.. Tuma picha kwenye namba 0659445718, mengine yatajulikana huko huko..
 
Wera wera hapo unauiziwa kingo za mfereji umbali wa Eka20. Jamaa ana akili sana.

kaka sheria za mazingira zipo wazi hakuna mtu kuumizwa Bali anaenunua atapata faida kubwa.
Mto umeruhusiwa kisheria kutumika kwa shughuli za uzalishaji na serikali ya kijiji unarudi nyuma mita kadhaa unaweka mpaka Wako.
 
Ekari 20 nnazozifahamu mimi kwa million 2 afuu lipo pembezoni mwa mto,,mtakuja kutuuzia na hifadhi za serikali walai
Kwani bei kwa heka vijijini hasa mikoani unadhani shilingi ngapi?
Laki1 unapata heka sasa kwa hizo 20 ni reasonable kabisa hapa cha msingi siyo bei ila kuthibitisha uhalali wa umiliki hilo shamba.
 
Bei Ni milioni mbili na nusu,shamba lipo jirani na mto usiokauka maji linafaa kwa kilimo na ufugaji.
Muhitaji tuwasiliane Mara moja.
Nasubiri namba yako ya simu nipo Moro mjini hapa kesho nifunge safari ya huko asee fanya faster
 
Kwani bei kwa heka vijijini hasa mikoani unadhani shilingi ngapi?
Laki1 unapata heka sasa kwa hizo 20 ni reasonable kabisa hapa cha msingi siyo bei ila kuthibitisha uhalali wa umiliki hilo shamba.
Mwenyewe nipo mkoani kaka Tena mbeya lakini hiyo bei siafiki kabisa ardhi imepanda bei saana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom