Nauza shamba la Miti ekari 8 kwa bei poa.

Elijah Steel

Senior Member
May 17, 2016
118
165
Shamba la miti lipo km 60 kutoka mafinga mjini.
Lina miti approximately 3200 aina ya Pines ina miaka 3. Linafikika kwa barabara. Bei ni Tsh 7,000,000/=
kwa mawasiliano tupigie kupitia namba 0755015654.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom