Nauza shamba ekari 3.5 Arusha - Kikwe

Nauza shamba ekari 3.5 Arusha - Kikwe

Njopa

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
192
Reaction score
30
Ok naona watu wengi wanalalamika kuhusubei..........! Nakuhakikishieni kwamba kwa bei hiyo hautakuja jutia kwa hapa Arusha na sehemu yenyewe, najua hii barabara ya EAC na mambo mengine yatayojiri bei zitakua nzuri zaidi, lakini kwa ajili ya shida na uharaka unaohitajika kama yupo mtu anahitaji nitaweza mpa kwa 15,000,000.00 kwa ekari, bei hii haina mazungumzo tena, lakini biashara ya kwanza itayofanyika ndio ya itakua ya mwisho, kwa maana kwamba akipatapatikana mteja yeyote wa kwanza akanunua hata hekari moja tu, basi sitauza tena eneo litalobaki, lakini ikawa wa kwanza huyo akahitaji zote kwa bei hiyo itakuwa sawa



DSC_0509.JPG DSC_0508.JPGDSC_0513.JPG
 
Hilo eneo mali sana. Ngoja nipige jaramba kwa wenye uweza
 
Shida ni kwamba ukishaanza kuuza ardhi utaiuza mpaka iishe kabisa huna ubavu wa kuzuia dhamira,hiyo roho ya kuuza haiondoki mpaka umalize kuiuza ardhi yote,hiyo ndiyo kanuni mkuu
 
Sidhani kama ndivyo kwangu, lakini yote heri ili mradi unajua unachokifanya!!!
Shida ni kwamba ukishaanza kuuza ardhi utaiuza mpaka iishe kabisa huna ubavu wa kuzuia dhamira,hiyo roho ya kuuza haiondoki mpaka umalize kuiuza ardhi yote,hiyo ndiyo kanuni mkuu
 
mkuu tukutane pm tupeane,namba nije kuona hilo eneo then tufunge biashara.

am more than serious
 
Back
Top Bottom