deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 515
iko kwenye hali nzuri imetumika nje ya nchi unaruhusiwa kuikagua ili kujiridhisha. kwa anaehitaji anaweza kuni PM namba yake ya simu.
Nina laki moja
mkuu umegundua mapungufu gani kwenye hii simu maana namí nataka nikainunue...Mkuu tunaweza tutafanya exchange kwa xperia z mpya?
mkuu umegundua mapungufu gani kwenye hii simu maana namí nataka nikainunue...
Mkuu tunaweza tutafanya exchange kwa xperia z mpya?
mkuu umegundua mapungufu gani kwenye hii simu maana namí nataka nikainunue...
laki nne na unachukuwa
ahsante mkuu ngoja nichukue hii xperia nataka nimpe x!
0758419776 nina laki tatu na nusu......vp hapo
322000vipi mkuu