Habari wana Jf.
Nauza samsung Lcd inchi 26 kwa laki tatu na nusu.
Mwenye kuhitaji anipigie
0713 978806.
Habari wana Jf.
Nauza samsung Lcd inchi 26 kwa laki tatu na nusu.
Mwenye kuhitaji anipigie
0713 978806.
Habari zenu wadau.
Ahsanteni kwa muitikio wenu ingawa maelezo yangu yalikuwa hayajitoshelezi kwa namna fulani.
Nashukuru nimepata mteja tayari humuhumu JF.
JF ndo kila kitu aisee.
Nikija tena ntajitahidi kuweka maelezo ya kutosha