acha siasa kipi kinakuchangya hapa kama product ni samaki aina wa kufuga, bei zipo na mawasliano pia yapo unataka nn sasa
Sio siasa mkuu tangazo lako haliko sawa, samaki wa kufuga kuna aina mbili kuna wa mapambo na wale wa bwawani sasa wewe hapo ni aina gani unayouza. kuna mtu ameuliza ni kambale au
mkuu mimi nahitaji nyuki wa mapambo kama unao niuzie tafadhalinauza samaki wa kufuga aina
tofauti na ntakeletea mpaka
ulipo kwa bei nafuu
gapi pea
5000
red pea
10000
gold pea
10000
gold wakubwa 30000
gulam 20000 Picha zinapatikana whats app
0712505049 nipo dar
nb.hawa ni samaki wa mapambo wa maji baridi yaani maji amabayo sio ya baharini
ni maji unayotumia nyumbani natoa elimu juu ya kuwahifadhi wanaweza kukaa hadi miaka mitano na wanazaliana katika kipindi chote hiko hivyo unanunua mara moja tu baadae wanazaa
Wadau tumekuelewa mkuu usiwaze!acha siasa kipi kinakuchangya hapa kama product ni samaki aina wa kufuga, bei zipo na mawasliano pia yapo unataka nn sasa