ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 261
- 452
- Thread starter
- #21
Mimi pia nipo DSM, site kuna mtu mwingine kaka. Unahitaji Kilo ngapi kiongozi?Nikahisi labda upo huko huko site mkuu. Nahitaji nipo DSM.
Mimi pia nipo DSM, site kuna mtu mwingine kaka. Unahitaji Kilo ngapi kiongozi?Nikahisi labda upo huko huko site mkuu. Nahitaji nipo DSM.
Jumla unauzaje kwa kiloMimi pia nipo DSM, site kuna mtu mwingine kaka. Unahitaji Kilo ngapi kiongozi?
Huyu mwenye mdomo mrefu anaitwaje
Duhh, samaki wapo na majina mengichuchunge
ukiambiwa una mdomo mrefu kama chuchunge, hivyo ndivyo anayekutusi anakuona...
Bei ni hiyo hiyo tu 9,500/= Kiongozi , mzigo ujao watu wa jumla mutanunua kwa bei ya chini kidogo.Jumla unauzaje kwa kilo
Naaam naaaam nawasubiri.Ngoja waje
Kama upo Dsm unapokea ndo unalipa, Mzigo unafikia Airport, kufikishiwa mpaka mlangoni kwako inawezekana pia ni suala la kulipia delivery tu.Payment inakuaje? Upon arrival au?? Maana naogopa sana kufanya biashara ya kutuma kwanza pesa
Ni kweli, tutaangalia namna tufungue sehemu ya biashara DAR,hamieni dar
Ukiweka Oda unatafutiwa Boss.Tasi na kibua unao?
Sasa si mtakuwa munanunua kwa wateja wa Jumla au?Kwahioo unajitangaza rejareja ukipata jumla utudis sio aiseee nakushauri hio comment futa mkuu hata aliekuwa na hamu ya kununua atakimbia...
Sema ukupata wengi wa jumla utanza kuuza pia jumla sio uachqne na rejareja 😬 🤭