The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,430
Duh hicho kibao au meza yako unayo katia hao samaki its 'awful' ungeificha ni hatari kwa afya zetu.Wakuu habari
Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana.
Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo.
Bei ni 12000 tu, kwa mmoja
0616274277.
Napatikana Kigamboni
Ukihitaji nakuletea bila kukatwa katwa ..Duh jicho kibao au meza yako unayo katika hao samaki its 'awful' ungeificha ni hatari kwa afya zetu.
Ana uzito gani mmoja?Ukihitaji nakuletea bila kukatwa katwa ..
Wakuu habari
Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana.
Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo.
Bei ni 12000 tu, kwa mmoja
0616274277.
Napatikana Kigamboni
Mbona huwa nawanunua na nawaita jodari. Au jodari ana speciesHao sio Jodari ni Sewa hao
Hatari yake nini mkuuDuh hicho kibao au meza yako unayo katia hao samaki its 'awful' ungeificha ni hatari kwa afya zetu.
Unaweza ukamuita sewa au jodariHao sio Jodari ni Sewa hao
HahahaVipi, ungebadilisha jina kidogo ukaziita johari si ungepiga hela sana?... Kila la heri mkuu
Hizo 'chips' za ubao zina ingia kwenye nyama ya samaki wakati wa kukata kata huyo samaki.Hatari yake nini mkuu
Uhaya unamsumbua tuHatari yake nini mkuu
Na wafuasi wa Mama Ellen G. White huwa hamkosekani na vimaswali vyenu feki vinavyoonyesha utakatifu wenu feki! πAna magamba?
Humuoshi kwani akifika home?Hizo 'chips' za ubao zina ingia kwenye nyama ya samaki wakati wa kukata kata huyo samaki.
To be honest.... nilitarajia jibu la kunichekesha... nimecheka ...asante π π π πNa wafuasi wa Mama Ellen G. White huwa hamkosekani na vimaswali vinavyoonyesha utakatifu wenu uchwara!π
Sijawahi kupata kesi kuhusu ubao.. ila asante kwa ushahuri, nitatafuta kile cha plasticHizo 'chips' za ubao zina ingia kwenye nyama ya samaki wakati wa kukata kata huyo samaki.
Ningependa kufahamu zaidi chips za ubao zina madhara gani zikiingia tumboni.Hizo 'chips' za ubao zina ingia kwenye nyama ya samaki wakati wa kukata kata huyo samaki.
Sewa na Jodari ni samaki wawili tofauti japo ni kama wanafanana (hao ni sewa sio jodari). Jodari ni mtamu kuliko sewaUnaweza ukamuita sewa au jodari