Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,382
- 2,631
Hahanha! Hapana mkuu si unajua Kuna wazinguaji kibao? Sasa Mimi hao ndio siwatakiPunguza mikwara utakula Kipondo Cha ugoko
Dalali Acha mikwara yako. Kama wewe ndio mmiliki unashindwa nini kuorodhesha kila kilichomo ndani ya saloon yako mpaka ufuatwe PM?Hahanha! Hapana mkuu si unajua Kuna wazinguaji kibao? Sasa Mimi hao ndio siwataki
Ukitaka watu serious, Weka Full details za Biashara yako ili upunguze maswali huko inbox unakotaka watu waje.Mwisho: njoo pm ukiwa serious, siitaji watu wa joking mwenye Mali ni Mimi mwenyewe!
Nikianza kuorodhesha Kila kilichomo nitaandika kurasa nyingi sana, mkuu na Mimi ni mvivu wa kuandika! So ndio maana nikasema kama Kuna mtu anakuja seriously basi naweza kumpeleka ofsini akakagua Kila kitu kwa macho yake then akafanya maamuziDalali Acha mikwara yako. Kama wewe ndio mmiliki unashindwa nini kuorodhesha kila kilichomo ndani ya saloon yako mpaka ufuatwe PM?
Tambua siyo kila mtu yupo Dar , au unataka mtu asafiri kutoka Iringa aje aione ofisi na vitu unavyoviuza?Nikianza
Nikianza kuorodhesha Kila kilichomo nitaandika kurasa nyingi sana, mkuu na Mimi ni mvivu wa kuandika! So ndio maana nikasema kama Kuna mtu anakuja seriously basi naweza kumpeleka ofsini akakagua Kila kitu kwa macho yake then akafanya maamuzi
hiyo bei ni pamoja na namba za mganga na kale ka hirizi unakotumia au hivyo nakuja navyo mwenyewe?Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume(barbershop) iliyopo makongo stend (mageuzio).
Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani sitoweza kusimamia nikiwa nje ya dares Salam ( mkoani). Saloon iko full ina viti vya kunyolea (barbershop chair), chumba cha scrub na vifaa vyake vyote, mashine, na Kila kitu muhimu, wewe ni kuchukua na kuingiza pesa tu, saloon ina muda mrefu hivyo tayari Ina jina na mzunguko wa wateja ni wakutosha(kuhusu wateja hutojuta labda uzingue mwenyewe)
Nahitaji million 8 tu naiachia. Kuna mkataba wa mpaka January, kwa maarifa zaidi kama mawasiliano, picha za barbershop yenyewe, location we ni-PM tu Kila details utapewa.
Mwisho: njoo pm ukiwa serious, siitaji watu wa joking mwenye Mali ni Mimi mwenyewe!
Mkuu mbona Uzi unajieleza vizuri?? Au haujausoma? Nimesema for more details kama mtu anahitaji basi aje pm naweza kumpa mpaka videos akathaminishaTambua siyo kila mtu yupo Dar , au unataka mtu asafiri kutoka Iringa aje aione ofisi na vitu unavyoviuza?
Nani aliekwambia kwa mganga Kuna hirizi za kukujazia wateja? Njoo kama ulivyozaliwa wateja wapo wa kutosha labda uwakimbize mwenyewe kwa huduma mbovu utakayo anza kuitoahiyo bei ni pamoja na namba za mganga na kale ka hirizi unakotumia au hivyo nakuja navyo mwenyewe?
Hii habari bila picha ni sawa na makelele
Ndio maana sijataka kuweka picha humu kwa sababu nishajua wazinguaji kama wewe mpo tele!Hii habari bila picha ni sawa na makelele
Irizi tayari ipo chini ya tails mkuu ๐๐๐hiyo bei ni pamoja na namba za mganga na kale ka hirizi unakotumia au hivyo nakuja navyo mwenyewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo bei ni pamoja na namba za mganga na kale ka hirizi unakotumia au hivyo nakuja navyo mwenyewe?
Ndio maana sijataka kuweka picha humu kwa sababu nishajua wazinguaji kama wewe mpo tele!
Watu wenye wako serious washani- pm kitambo na Kila details walizotaka nimewapa
Unajua maana ya Brand ndgu?? Achilia mbali kuuza furniture Kuna mtu anauza brand tu(jina) kutengeneza kiti ni very easy hata wewe hapo unaweza lkn kutengeneza brand sio kitu rahisi. Wanaojua biashara ya saloon hawanunui furniture mzee!Milioni 8 kwa viti vilivyochoka namna hiyo ndugu? Haupo serious wewe
Unauza maneno kwa millioni 8.Unajua maana ya Brand ndgu?? Achilia mbali kuuza furniture Kuna mtu anauza brand tu(jina) kutengeneza kiti ni very easy hata wewe hapo unaweza lkn kutengeneza brand sio kitu rahisi. Wanaojua biashara ya saloon hawanunui furniture mzee!
Alafu acha uongo viti havijachakaa mzee๐