Nauza sabuni za kigoma

Nauza sabuni za kigoma

jk kisiwa

Senior Member
Joined
May 31, 2016
Posts
131
Reaction score
99
Kama kichwa hapo juu kinavyo eleza nafuta wateja wa jumla nitakao kuwa nawauzia sabuni kutoka kigoma kwa bei ya jumla kwa bei poa.

Sabuni hizi hutengenezwa kigoma ni nzuri kwa kuogea huondoa chunusi mabaka pia hulainisha ngozi kwa kufulia pia ni bora kwani hutoa povu jingi kwa sehemu wanapotumia maji ya chumvi
20180120_162507.jpg
mfano wake ndio huu ila zitakuwa zinauzwa kwa bei ya jumla
 
Mods iyo picha ya awali itolewe iwekwe hii
20180120_162507-1-1.jpg
 
Mkuu fanya kitu kimoja kama hii ndo biashara pekee unayoifanya,

Pita duka kwa duka tafuta wateja

Niamini utapiga pesa mpaka kesho
 
Jamaa huyu hajaweka hata namba ya simu. Yaan unakosa wateja bure kabisa. Mm nahitaji, nakupateje sasa,
 
Back
Top Bottom