Nauza Range bado ipo kwenye hali nzuri

Nauza Range bado ipo kwenye hali nzuri

emanuel kiduvilo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
165
Reaction score
20
Ni ya mwaka 2011 na imetembea Km 32000 tu picha chini hapo na bei ni dolla 70000 maongezi yapo kidogo kwa mawasiliano tumia hii no 0768359292 gari ipo Dar es salaam.
 

Attachments

  • 1426053732642.jpg
    1426053732642.jpg
    45.4 KB · Views: 730
  • 1426053747763.jpg
    1426053747763.jpg
    41.2 KB · Views: 679
  • 1426053762612.jpg
    1426053762612.jpg
    53.7 KB · Views: 675
  • 1426053778040.jpg
    1426053778040.jpg
    100.7 KB · Views: 700
  • 1426053793406.jpg
    1426053793406.jpg
    98.6 KB · Views: 666
  • 1426053808423.jpg
    1426053808423.jpg
    92.9 KB · Views: 662
  • 1426053822107.jpg
    1426053822107.jpg
    45.1 KB · Views: 648
  • 1426053834116.jpg
    1426053834116.jpg
    51.5 KB · Views: 662
major league mkuu hiyo.huku ni vitz ist na baby walker zingine mkuu wangu
 
kweli hiyo siyo range sasa mbona huyu muuzaji anatupa mashaka anauza gari hajui model yake
 
Jaman biashara maelewano kama uko interested nitafute kweny hy no mambo mengine NI error wrttng
 
Range Rover au Land Rover? Pia kwa nini uzibe na kuficha kabisa Plate number? Acha Plate namba ionekane ili mtu asije kununua gari yenye case polisi au mahakamani
 
Hapo ikiuzwa dalali anakula dolla 50000 na mwenye gari dolla 20000 bongo hiyoo
 
Siku hizi Discover4 imekua range?
Alafu bei yenyewe lol!!!naweza kukuletea kama hiyo kutoka hapa bondeni kwa $55,000 ikiwa road!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom