nauza plotter aina ya copam, ina futi nne

nauza plotter aina ya copam, ina futi nne

TauHeeeD

Senior Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
191
Reaction score
134
ni mpya na naiyuza millioni 6 kwa aliyetari,
Mashine hii inaweza kukata stika za aina yeyote ile, pia na skech maandishi na kuchora picha ya aina yeyote ile, kazi inayofanya pia ina wasaidia ma designers wa kuchora mauwa ya kwenye nyumba, nashine inakata log za aina zozote zile, pia inatumika kukata logo za kwenye glass za pombe kama vile glass za coca cola pia tusker lite kwa ambazo zipo mitaani sasa
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376581186889.jpg
    uploadfromtaptalk1376581186889.jpg
    75.9 KB · Views: 65
Back
Top Bottom