Nauza pilipili aina ya Nayer's

Unaongea nyuma ya keyboard,siku wakikamata bidhaa zake wewe hautokuepo

Hasara itakua kwake

Hivyo ili kufanya biashara yake kwa amani ni vizuri akawa hana mtafaruku na mamlaka
 
Unaongea nyuma ya keyboard,siku wakikamata bidhaa zake wewe hautokuepo

Hasara itakua kwake

Hivyo ili kufanya biashara yake kwa amani ni vizuri akawa hana mtafaruku na mamlaka
Ni kweli ila kuna haja ya marekebisho makubwa ya hizi sheria kwenye hizi nchi ambazo bado zimo kwenye list ya umaskini. As of the current situation afuate ushauri wako wa kutafuta vibali, na atumie "maarifa ya ziada" kuhakikisha hakwamishwi na huo utaratibu
 
aaaaaawwww kwa nyama nyama dah!hebu muilete na mikoani
 
Ubora wa bidhaa kama hizi unatakiwa uwe approved na TFDA/TBS na kupewa vibali na pia kodi stahiki ya TRA ilipwe. Jee umekamilisha yote haya kabla ya kuweka sokoni bidhaa zako?
 
... popote ulipo kazi au nyumbani msisimko wa kitanzania utakufikia[emoji39]....shukran wakuu kwa kusapport kazi[emoji120] [emoji120]
 
Mkuu nakutumia fasta ata km ni one bottle...nicheck 0629565168

NIMECHUKUA namba yaan dah !nikija dar nitaichukua !soon naja!

yaan hyo mie unajua naiweka kwenye nn!nafry jodari ***** wa kunitosha then napika pilau hyo ndo itakuwa nalumangia na jodari wangu !
cc ,Miss Natafuta kula kula mwenzangu
 
[emoji1] [emoji2] [emoji3] karibu sana mkuu
 
Mie naishi tabora.je waweza nielekeza jinsi ya kutengeneza ili na mm nitengeneza badala ya kuwa mayer iwe taborayer
 
Hiyo Neyer's ni aina ya pilipili au ni brand?

Kama ni brand basi usiseme unauza pilipili aina ya Neyer's

Kwasababu aina ya pilipili ni mfano- pilipili mbuzi, pilipili hoho etc. Sijawahi kusikia pilipili aina ya neyer's
 
Nayer ni brand mkuu.....mandiko la nauza pilipili aina ya Nayer wameidt mamods....Bandiko langu lilikuwa NAUZA PILIPILI
 
Hiyo Neyer's ni aina ya pilipili au ni brand?

Kama ni brand basi usiseme unauza pilipili aina ya Neyer's

Kwasababu aina ya pilipili ni mfano- pilipili mbuzi, pilipili hoho etc. Sijawahi kusikia pilipili aina ya neyer's
Vipi mkuu unataka ku- Double your appetite? Nikulete kabottle kamoja[emoji1] [emoji2] ni msisimko wa kitanzania kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…