Nauza pilipili aina ya Nayer's

Je,ina kibali cha mamlaka ya chakula na dawa (TFDA)?
 
Je,ina kibali cha mamlaka ya chakula na dawa (TFDA)?
Nilitaka kuuliza hilo pia.
Akishafanikiwa hapo ajitahidi kuisambaza zaidi ili iwafikie watu wengi zaidi.
 
Nimependa ulivyokuwa mkweli
Mkuu ndio mwanzo lazima changamoto na uchukue maoni ya wadau..nimeweka leo bandiko langu ila nimepewa vitu vingi na wanajamvi PM..mpaka ikifika friday bidhaa yangu itakuwa na muonekano mwingine, ila kwa quality ya product ipo vizur sana mtaani ni gumzo nimeileta hapa ili niokote ya huku na ya huku lengo nifike kuleeeeee kabisa...shukran kwa wote
 
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] pembeni ya mlo wako huwezi kuikosa....Shukrani kwa wote
 
Japo sio mtumiaji wa "washawasha" aka 2nd 2nd au pilipili ila nichukue nafasi hii kukupongeza kwa utangazaji mzuri,unahamasisha na una good packaging, mpaka natamani kuonja
 
Je,ina kibali cha mamlaka ya chakula na dawa (TFDA)?
Mnatuzinguaga tu mavitu kibao feki na yamepitishwa na hao tfda yapo supermarket (artificial zote zina preservatives, etc), sasa huyu kakwambia kabisa kitu natural, na isitoshe ndio anaanza! Soon huo wimbo wa tfda tutaanza kuuskia hadi kwenye maandazi ya mama ntilie! Au kisa kuweka kwenye chupa? Au kuipa jina?
 
Japo sio mtumiaji wa "washawasha" aka 2nd 2nd au pilipili ila nichukue nafasi hii kukupongeza kwa utangazaji mzuri,unahamasisha na una good packaging, mpaka natamani kuonja
Shukrani sana mkuu...upendi kuwashwashwa eeh[emoji3] [emoji2] [emoji1] ....next week nakuletea ukwaju souse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…