Nauza pilipili aina ya Nayer's

SALUM S HEMED

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2016
Posts
1,437
Reaction score
1,863
Mchanganyiko wa matunda, tangawizi, vitunguu swaumu, vinegar....inapatikana ktk ujazo tofauti. Watu wa bar, restaurant, BabaQ n.k naweza kukuwekea ktk ujazo kulingana na maitaji yako kibiashara...nafanya delivery bure kwa Dar es salaam siku ya ijumaa na jumatatu...0653408957 na 0629565168
 
Inategenezwa na mama wa kitanzania nyumbani kigamboni..maitaji yote tunayatoa shamban kwetu..ni natural pia inaweza kukaa mda mrefu bila ya kuchacha zaid ya miezi mitatu.unaweza kuiweka ktk mazingira yoyote ya hali ya hewa sio lazima uiweke ktk friji
 
Mfumo wake km chil souse aina makokwa ya pilipili imesagwa vizur...unaweza kuitumia ktk chakula chochote bila ya kuichoka
 
mkuu nahitaji robo lita unaweza kuniletea huko Temeke Mabwepande
 
Unaonaje ukaisambaza kwenye supermarkets au hizi mini supermarkets inaweza kuwafikia walengwa kwa urahisi zaidi maana km mm nikiagiza kachupa kamoja nianze kukupigia simu inakuwa km hasara kwako kufanya delivery.
 
Unaonaje ukaisambaza kwenye supermarkets au hizi mini supermarkets inaweza kuwafikia walengwa kwa urahisi zaidi maana km mm nikiagiza kachupa kamoja nianze kukupigia simu inakuwa km hasara kwako kufanya delivery.
Shukran kwa ushauri mkuu...nimejaribu kusambaza baadhi ya mini supermarket maeneo ya kwangu hapa kigamboni...pia sio usumbufu ktk delivery hio hio chupa moja nitakufikia ulipo kwa mfano j3 niatakuwa maeneo ya msasani,kawe, mwanayamal, kinondon, mikocheni , kunduch..hizo ni oda nilipewa kabla ila ijumaa sikuweza kuwafikia nilikuwa zone za ilala, buguni,ktk ya jiji
 
safi sana mkuu! kuna pilipili moja inatoka rwanda iko hadi huku kwenye mini market zetu, kuna mtu alikua anaisifia sana. sasa na wewe waamshie dude

M
Naijua ile nyeupe mkuu...huu ni msisimko wa kitanzania kwel kwel..chukua chupa yako moja mkuu utanipa feedback
 
Naijua ile nyeupe mkuu...huu ni msisimko wa kitanzania kwel kwel..chukua chupa yako moja mkuu utanipa feedback

yep! ndo maana na mie nikasema na wewe kawaamshie dude mkuu , na sie tuwapige 'home and away'

M
 
Wakuu hii product ni ya kitanzania anayetengeneza ni mama wa kitanzania naombeni mawazo na ushauri pia..km wakuu wanavyokuja PM nakunishauri baadhi ya vitu..ndio naanza kuitangaza maana mtaani imekubalika sana sana so sijamaliza kuna vitu naitaji kuongezewa mawazo..mnaokuja PM na kunikosoa sio Poa then tunakatishana tamaa...naomba ushauri nitaupokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…