Nauhakika bei utakayouzia hiyo bike itakuwa ndogo zaidi ya bei ya kabureta.Sina uzoefu kwenye hilo ila ukishainunua nakushauri uipeleke kkoo pale hukosi spea, niliambiwa haizidi laki 1.
Hiyo unayozungumzia ni yamaha DT inatumia mfumo wa 2T ndo maana hutoa moshi.Kwangu picha haifunguki wakuu hiyo Yamaha ndio zile zinazolia ndleee nde nde nde ndeeee na moshi kibao au
Mkuu umetishaa zile za nde ndeeee hahahKwangu picha haifunguki wakuu hiyo Yamaha ndio zile zinazolia ndleee nde nde nde ndeeee na moshi kibao au
Jamaa kanichekesha sana🤣🤣🤣Mkuu u
Mkuu umetishaa zile za nde ndeeee hahah
Mkuu nakutumia namba nyingine mana hiyo ya Airtel miyeyusho.Simu yako mbona iko bize sana kiasi nawaza nije na gwanda kabisa ili tusianze habari za kutishiana
Ipo Boss karibuBado ipo?
KaribuKama bado ipo ni pm
Bado ipo?Wakuu nauza pikipiki yangu kwa 300k tu, nimepata dharura na mfukoni siko vizuri. Pikipiki ni Yamaha tatizo lake ni kabuleta tu, njoo uichukue kwa hiyo bei mwenyewe nimeridhia kwa moyo mkunjufu.
CONTACT: 0659 918 194
View attachment 3510699View attachment 3510700
Ipo Boss karibuBado ipo?
Ni 2 strock???Ipo Boss karibu
Kwangu picha haifunguki wakuu hiyo Yamaha ndio zile zinazolia ndleee nde nde nde ndeeee na moshi kibao au
Mkuu hakuna mtu kutekwa hapa, ni biashara tu kaka, kijana mwenzio nimekwama nahitaji msaada kaka.Kuna mtu anaenda kutekwa hapa kisa kijitukutuku.
Ss kigamboni itabidi niibebe mkuu na mm sina kitu Boss.Leta kigamboni mkuu
Sijakuelewa mkuu, fafanuaNi 2 strock???