Habari wadau. Nina iuza pikipiki yangu aina ya SanLG niliyoinunua dukan septemba mwaka jana. Ipo katika hali nzuri kabisa, haijawahi pataa ajali wala injin haijaguswa. Inafaa sana hasa kwa biashara. Bima na documents zote zipo. Ni T 9** CMJ. Bei 1.2M nipo Chamazi DSM. Karibuni