Nauza pikipiki Niko mwanza

Nauza pikipiki Niko mwanza

leonard mwenda

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2015
Posts
253
Reaction score
64
Habari za humu wakuu., natumai ni kwema na tunazidi kusongesha mbele na gurudumu la maendeleo ya kujenga taifa letu.
La msingi: Mimi napataikana mwanza ninauza pikipiki yangu aina ya fekon ina miezi 7 tu na ina usajili wa number mpya yaan mc....!!
Bei ni milioni 1.2.
Aksante na karibu kwa wahitaji.
 
daa mkuu, mi nina milion moja, kisha nipo dar, yaani natafuta kwa udi na uvumba, ambaye yupo dar anauza piki piki aina ya fekon anichek faster kwa 0757950376,hata leo naitaka
 
Mimi nina pikipiki aina ya Yamaha Dt175 nipo Dar naiuza fasta,iko katika hali nzuri. Ukiihitaji ni PM.
 
daa mkuu, mi nina milion moja, kisha nipo dar, yaani natafuta kwa udi na uvumba, ambaye yupo dar anauza piki piki aina ya fekon anichek faster kwa 0757950376,hata leo naitaka

Ipo sanlg 150cz ina mwezi mmoja inauzwa 1.5m
 
Miez 7 na ni fekon alafu bei ni milion 1.2!!! Uko mbali saaana mkuu. Nakupa laki 7
 
Kama ukipata ya laki 7 na mim nishtue nitachukua huku nikiwa nasubiria kuiuza hii.
 
Back
Top Bottom