KALITHERMAL
Member
- Aug 22, 2013
- 81
- 8
Photocopy mpya kabisa,hutajuta kununua..bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara.
Kama unaitaka piga 0767205419
asante sana
Kama unaitaka piga 0767205419
asante sana
Photocopy mpya kabisa,hutajuta kununua..bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara.
Kama unaitaka piga 0767205419
asante sana
Upo wapi mdau,ungetoa maelezo ya kina aina gani,ina mda gani,ukiweka picha si mbaya
upo wapi mdau,ungetoa maelezo ya kina aina gani,ina mda gani,ukiweka picha si mbaya
Mdau,
NKO UBUNGO DAR ES SALAAM,INA MUDA WA MIEZI MINNE,ILINUNULIWA APRLI 2013..HADI SASA INA MIEZ MINNE...MDAU NI MPYA KABISA KAMA IKIWA TOFAUTI UTAIACHA..KAMA UKIIPENDA UNAITEST HAPO HAPO....PICHA GOOGLE TU CANON IR 2420
mkuu,siku ulipoinunua agents wa canon ndiyo waliokufungia(fanya installation) au ulifanya installation mwenyewe? Maana akifanya agent anatoa nakala ya installation & test ambayo itasaidia katika kujiridhisha na hiyo machine, otherwise bei yako ni reasonable.
ndio maana tulitaka upige picha yako uiweke hapa coz hata huku kwenye google ambapo unatuambia tugoogle haiji pic moja zingme ndefu tower kama(fliji) zingi ni ndogo sasa wewe yakwako ni ipi?
imetoa copy ngapi mkuuPhotocopy mpya kabisa,hutajuta kununua..bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara.
Kama unaitaka piga 0767205419
asante sana
imetoa copy ngapi mkuu