Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,741
- 1,251,397
Duh aisee watu wana hela
Hiyo ni bei ya offer kawaida ni 800,000
Hiyo ni bei ya offer kawaida ni 800,000
MmmhHiyo ni bei ya offer kawaida ni 800,000
Bila kusahau 540,000 ni mahari ya mtu kabisa.540,000/- napata mbuzi wasiopungua kumi hapa mnadani Kwa Morombo.
Wakiwa wazima million mpaka million na nusu😂😂Hao Paka Wako Itakuwa Wagonjwa Mbona Unawauza Kwa Nusu Bei?
Nashangaa Naona Anauza Kwa Bei Ya Hasara Kiasi Hicho Ngoja Tumsubiri Aje Atoe Ufafanuzi.Wakiwa wazima million mpaka million na nusu[emoji23][emoji23]
kwetu paka elf tanoNauza paka/nyau.
Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus.
Location:
Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala)
Mawasiliano:
0718 727210 (Whatsapp/SMS)
Bei:
540,000/= kwa paka mmoja.
Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/=
Picha:
Anajificha nisimpige picha
View attachment 2143485
Anapiga miayo anasikia usingizi
View attachment 2143487
Wanacheza kwa furaha
View attachment 2143491
View attachment 2143492
Kunabwatu wana masihara uyo paka sio wa kuuza laki tano huyo mmoja ni laki 9 why unauza bei cheaper kiasi hicho mkuu