Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

Nauza paka/nyau.

Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus.

Location:
Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala)

Mawasiliano:
0718 727210 (Whatsapp/SMS)

Bei:
540,000/= kwa paka mmoja.
Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/=

Picha:
Anajificha nisimpige picha

View attachment 2143485

Anapiga miayo anasikia usingizi
View attachment 2143487
Wanacheza kwa furaha
View attachment 2143491
View attachment 2143492
Nadhani hawa ndio wale Paka ambao wanazungumza lugha za ajabu ajabu usiku madirishani
 
Nauza paka/nyau.

Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus.

Location:
Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala)

Mawasiliano:
0718 727210 (Whatsapp/SMS)

Bei:
540,000/= kwa paka mmoja.
Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/=

Picha:
Anajificha nisimpige picha

View attachment 2143485

Anapiga miayo anasikia usingizi
View attachment 2143487
Wanacheza kwa furaha
View attachment 2143491
View attachment 2143492
Hao jamani siyo paka labda majini laki tano???!!
 
Huyu jamaa ndo aliuza bata wa kuhar har kwa laki 8 leo unaza paka mapepe laki 5 mwsho tuauza panya useme wa apollo
 
Nauza paka/nyau.

Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus.

Location:
Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala)

Mawasiliano:
0718 727210 (Whatsapp/SMS)

Bei:
540,000/= kwa paka mmoja.
Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/=

Picha:
Anajificha nisimpige picha

View attachment 2143485

Anapiga miayo anasikia usingizi
View attachment 2143487
Wanacheza kwa furaha
View attachment 2143491
View attachment 2143492
Yaani ninunue mapaka!

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mkuu komaa kuwatangaza, utapata tu wateja.
Hapa jf dhihaka nyingi ila ukipata mteja nitumie hata 10k kwa kukupa nguvu ya kuendelea kujitangaza.
 
'
JamiiForums1420559497.jpg
 
Nauza paka/nyau.

Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus.

Location:
Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala)

Mawasiliano:
0718 727210 (Whatsapp/SMS)

Bei:
540,000/= kwa paka mmoja.
Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/=

Picha:
Anajificha nisimpige picha

View attachment 2143485

Anapiga miayo anasikia usingizi
View attachment 2143487
Wanacheza kwa furaha
View attachment 2143491
View attachment 2143492
Huku mtaani kwangu kuna bar imejaa mapaka uje uwasombe bure tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom