Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

Nauza paka/nyau.

Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus.

Location:
Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala)

Mawasiliano:
0718 727210 (Whatsapp/SMS)

Bei:
540,000/= kwa paka mmoja.
Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/=

Picha:
Anajificha nisimpige picha

View attachment 2143485

Anapiga miayo anasikia usingizi
View attachment 2143487
Wanacheza kwa furaha
View attachment 2143491
View attachment 2143492
Kamanda hapa kwa bei hiyo ya paka umeupiga mwingi aisee paka jiwe5🙄🙄
 
Paka laki5 mahari ya mtu kabisa hiyo haha duh wacha nifuge Sungura tu haha ntakula nyama kuna mwingine Arusha anauza mbwa million hapo bado hela ya misosi hujaweka hapo
 
Duh! Jirani yangu aliwachukua kama hao sita akawatia kwenye saflet na kuwatupa maana walikuwa wanazaana sana, kumbe ni fala katupa mali!

Usiombe wazaane utajuta mara wamelala kwenye kitanda mara Kwenye makochi sema paka wasafi kidogo sio kama mbwa hawachelewi kuacha kinyesi haha
 
Nashangaa Naona Anauza Kwa Bei Ya Hasara Kiasi Hicho Ngoja Tumsubiri Aje Atoe Ufafanuzi.


Kwanini Anauwauza Kwa Bei Ya Hasara Namna Hiyo?
Hiyo ni bei ya promotion iliyokuja na punguzo la asilimia 60 ila ukifika ofisini bidhaa hiyo utainunua kwa bei ghali sana

Mi nashangaa watu ambavyo wanashindwa kuchangamkia fursa, sehemu nyingine bei kama hiyo wanagombaniana

Hayo ni mapaka ya kinyamwezi yenye mafunzo sio kama huyo wa nyumbani ambaye daily ana poop kwenye kochi na sometime mboga ukiigesha vibaya anapita na vifinyango kadhaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom