Nauza Nyumba KIGOMA-MJINI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza Nyumba KIGOMA-MJINI

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Edson Zephania, May 27, 2011.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana Jf kuna nyumba ipo Mkoa wa kigoma mjini jirani na soko la Nazareti. Nyumba ni ya block imeishaezekwa bati, milango na madirisha yameshawekwa kilichobaki ni kupiga sakafu, plasta ndani na nje pia wiring bado. Kwa yeyote anayehitaji ani PM na bei ya kuanzia ni sh mil 27.
   
 2. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kigoma mil.27?mkuu ingekua vyema ungetoa data za kutosha!kama kiwanja kina hati,na pia nyumba ni ya tofali za block au za kuchoma?pia weka picha wadau waone.
   
 3. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiwanja kina hati na tofali ni za block na si za kuchoma,vyumba vitatu jumla kimoja ni master bedroom sebule dining room jiko choo bafu na store. Kuhusu picha ndio nafanya utaratibu wa kwenda Kigoma so ntaipiga picha then nitaiatach hapa, kwa sasa makazi yangu ni dodoma
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu; unfinished house; Nazareth Kigoma huwezi pata mteja kwa bei hiyo! Mimi niko Kigoma, nielekeze vizuri nikaipige picha hiyo nyumba huenda ukabahatika kupata mteja!
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Weka picha bana biashara matangazo weka hata picha ya kikatuni kama voda basi tufike bei mtu wangu.
   
 6. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ukiwa umesimama maeneo wanauza miwa sokoni km unatoka Fid force kuna hyo nyumba kwa mbela au ulizia kwa nurse mmoja anaitwa mama ndimuchaga anafanya kazi Ndaboine dispensary. But kuna maelewano pia
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Kay will go there later!
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  kigoma mil 27? duh! kila la kheri mjomba
   
 9. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hyo ni starting point tu mkuu!, 2naruhusiwa kubargain.
   
 10. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  k! Thanx mkuu!.
   
 11. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mie nipo Kigoma tangu majuzi, je ukitokea uwanja wa ndege, wanapouza miwa ni sehemu ile WANAPOUZA KITI MOTOZI!!!!
   
 12. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #12
  May 28, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndugu huko ni mbali kdg sehem yenyewe ni jirani na soko la Nazareth mwishoni ukiwa unaenda kota za Field Force ukisimama palipo na choo cha kulipia cha soko adjacent nyumba hyo inaonekana kwa ng'ambo au ukiuliza kwa Mr or Mrs Ndimuchaga nurse anayefanya Ndaboine dispensary utakua umepapata.
   
 13. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  i love the JF spirit,wakati ninawaza nikwambie nikupigie picha ili members waione kumbe kuna mwenyeji ameshajitolea kukupigia picha hiyo nyumba.
  Mimi nakushauri usiuze hiyo nyumba/Aset .kama umehamishiwa dodoma kikazi usiuze.umuhimu wa kumiliki asset kama nyumba ni mkubwa sana,fanya yafuatayo utayaona matunda.
  Mji wa kigoma unakua kwa kasi,Reli inahimarika,barabara inakamilishwa and Fly540 wanafungua route to kigoma mwezi july.
  Register Kampuni,nenda bank kakope pesa ya kumalizia nyumba,ifanyie modification iwe Guest House ya kileo.then pesa inayotoka hapo unalipa mkopo,after few years utayaona matunda.
  mimi nipo kigoma for few Days wadau nipeni Toure guide ya kigoma and good places to hangout,Friday nimeenda Lake Tanganyika Pako safi,juu kama ulaya,nimevisit baa inaitwa new faith ya Mr,Katembo wa TPA.

  please recomend some good activities while i am here over the weekend
   
 14. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #14
  May 28, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  duh ushauri wako ni mzuri sana kaka nimeshaufanyia kaz sana na nimeamua kufikia hayo maamuz magumu na si kwamba napenda. Kaka Kg hakuna kiwanja kizur km Lake Tanganyika hotel na Hilltop pengine wazinguaji tu!.
   
 15. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Kigoma nilitoka mwaka 1986 na sijarudi tena.Hayo maeneo yote unayotaja kwangu ni maruwe ruwe tu! Kiwanja pekee kikubwa cha wakati huo kilikuwa ni Railway Hotel ambayo nadhani ndio imeuzwa na kuwa hiyo Lake Tanganyika! Vipi NBC Club ipo hapo Rubengera kama unapanda kwenda Mwanga? Kigoma Club hapo mbele ya Lake Tanganyika ambapo tuliokuwa wanachama tyulikuwa tukiangalia sinema za nguvu zaidi ya zile za Kidosi tulizokuwa tukiangalia pale Ligoma Talkies karibu na ile shule ya msinga inaitwaje sijui pale stand kama unakwenda kanisa la Roma?
  Hotel za Lake Tanganyika za akina Musa ile ya Mwanga na ile ya pale Kigoma mjini bado zipo? na zile za Mwanga Guest House za Mzee Said na watoto wake Zipo? aaaah, Inanikumbusha mbali sana. Those were the days.

   
 16. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hzo zote ulizotaja zipo mkuu Kg haijabadilika sana mi mwenyewe nilitoka 90s na kurudi '03 bt ckuona changes kubwa sana. KG CLUB bdo ipo NBC CLUB sina uhakika bt nahsi ilishafungwa, Railway club ndo kwishney longtime.
   
Loading...