Nauza Noah 2004 milioni 9

faisal25003

New Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
4
Reaction score
0
nauza noah 2004 kwa milion 9.0 gari nzuri sana plate namba B pia tunaweza kuzungumza.. 38749 Kilometers. nipo dar es salaam. kwa maelezo zaid ya picha sms.calls. whatsapp. tel 0716638618
 
nauza noah 2004 kwa milion 9.0 gari nzuri sana plate namba B pia tunaweza kuzungumza.. 38749 Kilometers. nipo dar es salaam. kwa maelezo zaid ya picha sms.calls. whatsapp. tel 0716638618
sita ipo mfuko wa shati
 
No B kwa km hizo wakati mwingine muwe mnasema uongo unaokaribiana na ukweli.
 
Nauza yangu Noah Vox namba B lakini haina kadi nauza million sita.
 
Na mm nauza yangu mamba B Noah Vox lakini haina kadi
sisi wengibe hatuna Whatsapp kwanini msituhabarishe kupitia JF
zipo zaidi ya aina 3 za Noah , ipo VOXY hata kwa milioni 3 sisi wa huku bara hatutachukua haziwezi beba mahindi wala mkaa sembuse kuwa Daladala
tunatafuta Noah Liteace au TownAce
faisal25003
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…