Nauza Nissan Terrano Bei Nzuri

Nauza Nissan Terrano Bei Nzuri

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Wadau salaam...nauza Nissan Terrano ya mwaka 98 mayai na rangi dark blue automatic inayotumia petroli...ina miezi kama 2 tangu niimport kutoja japan...bei ni 12 millions..Kwa maulizo yoyote kuwa huru,namba yangu ni 0659300000.Asantdni
 
Tangazo lako Mkuu halijakamilika !!!
1Ujazo wa injini
2.Odometer
3.Ina nini na nini humo ndani
Jaribu kuweka mambo muhimu hapa
 
Nimekupata mkuu...napost detail zote muda huu
 
Cc 3000...mwaka 98...km 118000...Asanteni
 
acha ubabaishaji mkuu una gari halafu unashindwa hata kumtafuta cameraman akusaidie kupiga picha kwa sh 500 tu?
 
Back
Top Bottom