Nauza ngozi kavu za mbuzi.

Swordfisher

JF-Expert Member
May 1, 2013
233
37
Kama kichwa cha Tangazo kinavyojieleza,ninao uwezo wa kusuooly ngozi kavu 1000 za mbuzi kwa kila mwezi.
Alie na uhitaji njoo PM na offer yako.
Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom