gadsan
Member
- Dec 23, 2015
- 18
- 8
Labda yeye imeshamfanya billionaire mkuu. Ana roho nzuri sana ndo maana anaiuza ili na mwingine atajirike.Km inaingiza hyo hela per day y usiitumie tu mwenyewe!
Swali mujarabu kabisa hili.Km inaingiza hyo hela per day y usiitumie tu mwenyewe!
Kuna jamaa nilikutana nae katoro ana ichi kidude . naona kwa haraka haraka alikuwa anapata hadi milioni moja kwa siku maana alikuwa anajaza nyomi kila anapoenda
Labda yeye imeshamfanya billionaire mkuu. Ana roho nzuri sana ndo maana anaiuza ili na mwingine atajirike.Km inaingiza hyo hela per day y usiitumie tu mwenyewe!
!!.. Hii chai material zipo.Hayo material yakiisha unapata wapi?
Hiyo laki moja ndio faida au mpaka material ndio hiyihiyo?
Fafanua vizuri sisi ndio wateja
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaa hela hizi jamani.material zipo.
kichupa kimoja kinatumika kwenye simu 200.
bei ya kichupa ni 50,000