Mwamba ngoma huvutia kwake.....Hizi fake mkuu, hayo maji ukiyapulizia kwenye kioo yanakauka kabla hujaingiza kwenye mashine.
Ndio linakuja swali kama kweli inasaidia kwanini manufacturer wasiweke hiyo technology tokea huko kwenye façtory zao.Hizi ngoma Ni illussuion tu.. jamaa yangu kaweka hiyo liquid protector na simu imevunjika. Glass protector Ni best
kaka vip? kwa laki mbili haifai?Ni mashine zinazotumia teknolojia mpya ya kufanya kioo cha simu kiwe imara maradufu.
Mashine ziko 2 kwenye brifcase.
Ni rahisi kuzitumia
Zinaweza kukuingizia kipato zaidi yya 100,000 kwa siku
Bei ni 450,000 tu.
Contacts 0712148577
Karibuni