Nauza mziki wa gari Complete

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
224
67
Salaam wadau,

Nauza mziki wa gari Complete nikimaanisha booster ya watts 1200,sub woofer ya inch 12,Wires and kits,Radio aina ya kenwood original ambayo ni oft touch kioo inacgheza DVD,MP3,Flash na dVX,Radio ni original nilinunua nje kwa dealer.Vyote nauza laki 650.

Karibuni.Kwa mawasiliano namba 0689900000
 
1463579239187.jpg
1463579252210.jpg
1463579261400.jpg
1463579270650.jpg
1463579283490.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom