Nauza muongozo wa ufugaji kuku

Nauza muongozo wa ufugaji kuku

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,766
Reaction score
2,685
Habari wakuu.
Kuna vitabu vya muongozo wa ufugaji kuku wa asili (kienyeji) ulioandaliwa na shirika la marekani la Heifer na kufanyiwa kazi Mkuranga-Pwani.
Nauza vitabu kwa Tsh. 8,000/- (elfu nane ) kwa kitabu.
Pia kuna mazungumzo iwapo unataka huduma zifuatazo;

1/.nitembelee banda lako na kukushauri maboresho
2/. Nikuandalie Business Plan ya ufugaji kuku kadri ya maelezo yako
3/. Ushauri wa masoko
4/. Mengineyo yanayohusu ufugaji kuku

Simu:0713-039875
 
Acha utapeli utafungwa, haki milki ya vitabu hivyo ni ya Heifer Tanzania International. Vinatolewa bure baada ya walengwa kupatiwa mafunzo ya ufugaji kuku.
 
Back
Top Bottom