Nauza modemu

Nauza modemu

tata mvoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
534
Reaction score
81
habari wakuu nauza modemu mbili ya airtel zte mf 190 na voda ni huawei zote ni used bei tshs.20000/=,pia zinatumia laini zote kwa maana zimechakachuliwa.
niko dar es salaam sina kamera wala simu yenye kamera ndo maana nimeshindwa kuweka picha ila kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0715404808.
 
Daaaaaa bongo njaa kali sana... mpaka modem ya ten mnaitangaza..!! kudadeki, nenda kalime dogo.. kitachofuata utakuwa...
 
-hil nddo tatizo la baadhi ya user wa jf kama nyie hamjapenda jamaa anachotangaza si mpotezee tu sa mambo ya kumletea majungu kwenye thread yake yametoka wapi.....nyie ka hamjaridhika na anachotangaza basi tembelea thread nyingine msiwe watu wa majungu
 
wewe kweli mbumbumbu. unaona nongwa hata kwa mtu anaye uza kitu chake! duh!. mia
 
Duuu we kweli mbumbu!
Hivi umesoma hata kidogo kuhusu biashara?

Daaaaaa bongo njaa kali sana... mpaka modem ya ten mnaitangaza..!! kudadeki, nenda kalime dogo.. kitachofuata utakuwa...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi nataka 1 tu hiyo ya voda so kama vipi funguka nikuachie sh.10 fasta.
 
-hil nddo tatizo la baadhi ya user wa jf kama nyie hamjapenda jamaa anachotangaza si mpotezee tu sa mambo ya kumletea majungu kwenye thread yake yametoka wapi.....nyie ka hamjaridhika na anachotangaza basi tembelea thread nyingine msiwe watu wa majungu

walitaka atangaze anagawa modemu bure
 
Daaaaaa bongo njaa kali sana... mpaka modem ya ten mnaitangaza..!! kudadeki, nenda kalime dogo.. kitachofuata utakuwa...

wewe unaijua nguvu ya elfu 10 kwenye uchumi wetu!!, p**mbvu..hapa na moro goro shs ngapi?
 
Mkuu bado unazo? Kama zipo nazihitaji zote ,nijibu tu hapa nikueleke wakumpa hapo chuo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom