Nauza modem za 4G (LTE) mitanda yoote

Nauza modem za 4G (LTE) mitanda yoote

Huwezi kuuza modem ambazo TTCL wanauza shilingi elfu 50 wewe utuuzie laki moj.

TTCL wanauza hizo hizo modem na hazijafungwa kwa shilingi elfu hamsini.
 
Mkuu mbona Tigo anauza 100000 na bado amezifunga kwaajili ya matandao wake tuu???
 
Hivi tofauti ya kutumia simu yenye 4G kama mobile hotspot na kutumia moderm ya 4G tofauti ni nini kwenye masuala ya speed na charges?
 
Utofauti upo hivi:
kwanza kila simu(model) ina speed tofauti tofauti, kwa mafano Nokia Lumia 920 ikiwa katika network mode ya 4G ina uwezo wa kufikisha 100/50Mbps wakati Samsung galaxy J2 ikiwa hivyo katika 4G network mode ina uwezo wakufikisha 150/50Mbps...
Sasa vilevile kwenye modem nazo zinaweza kuwa na Technoligia moja (Either 3G/4G) lakini zikazidiana uwezo.
Kwa upande wako itategemea kama unatumia simu yenye uwezo wa kuzidi modem hii ya Huawei E-3372 ambapo ina uwezo wakufikisha 150/50Mbps ikiwa na line ya 4G ndani.
 
Asante.
 
Hbarini wanajamvi?
Ninazo modem zenye uwezo wa 4G na hazijafungwa kwa mtandao wowote...hivyo ukiwa na modem hii utaweza kutumia mtandao wowote.
Yaani ukiwa na line ya 3G/4G utaweza kutumia modem hii. Kumbuka kuwa modem hizi hazikuwa zimefungwa (LOCKED) kwa mtandao wowote kiasi kwamba sisi ndio tukazifungua... Hapana..hizi ni Modem UNIVERSAL kabisa kwa any netwok carrier. Hapa chini ni picha yake:
Bei Kwanza mengine yanafuatia tu
 
Bundle ghali na modem ghali ivyo....ila kama ndio 4g kwel huenda ukiwa ni sawa....ngoja nizame eBay
 
mbona zipo tu na beh ni 40000 na risit unapewa ninayo toka mwez wa pili mwaka huu ni nzuri sana........

Huyu jamaa anataka kuwapiga watu bei ndio maana alikuwa anang'ang'ania PM. Hizi modem zinapatikana kwa tshs 40,000 mpaka 35,000 pale kwa Wasomali Universal Computer mtaa wa Uhuru kabla haujafika Voda Shop ukiwa unaelekea Mnazi Mmoja.
 
ahsante braza kujazia ukwel mana m ninayo tka mwez wa pil na risit ninayo 40000 sasa kama laki hili ni soko huria kila mtu ana haki ya kuuza kwa beh yake ila uko pm kuna mengi jamani......
 
Wenye haja kununua chochote kile iwe electronic Bora uagize AliExpress au kikuu from China or wherever,wanauza vitu Bei Chee mno Ila uwe makini tu kucheck reviews za wayumiaji wa bidhaa husika kabla hujanunua
 
Back
Top Bottom