Nauza mitungi ya gas empy

Nauza mitungi ya gas empy

Fkm2020

Member
Joined
May 19, 2020
Posts
68
Reaction score
53
Ipo 10 na ni ya kampuni ya mihan(5) na oryx(5)! Midpgo ipo 8 na mikubwa miwili. Yote ipo songea ukihitaji nakuletea usafiri kwa mikoa ya dar njombe, makambako, iringa, morogoro na mbeya ni rahisi zaidi mana gari ziko nyingi
 
Nakutumia namba Pm mkuu mana ukiweka public watu weng wanapiga hata wasio serious inakuwa usumbufu
 
DAE NAKUPA NIKIONA MZIGOSIO SAWA
COMFIRM
 
Back
Top Bottom