Nauza mifuko ya tani moja

Nauza mifuko ya tani moja

Tangazo hili bila picha kazi bule, selikali ipo kupambana juu ya kuweka kilo 100 ww unauza mifuko ya kilo 1000 .
 
Jaman kwa mwenye uhitaji wa mfuko wa kilo 1000 yaan tani moja kwa ajili ya matumiz tofauti tofauti ya kilimo , na kutunza bidhaaa mawasiliano 0764240743
 
Bila picha hata moja mkuu? Kweli kabisa?
 
Kichwa tajwa hapo juu chajieleza kwa wenye mahitaji ya mifuko mikubwa na imara ya kilo 1000 yaan tani moja tuwasiliane kwa namba 0764240743 mifuko ipoo
Bei ipoje?

Vizuri ukaweka picha ili tuione..
 
mbona unauza ghali sana 120,000 hupati mtu
 
Niuzie mifumo yote kwa fedha taslimu za kitanzania shilingi 10,000
 
Back
Top Bottom