Nauza mchuzi wa WINE(MVINYO) kwa bulk purchase only

Nauza mchuzi wa WINE(MVINYO) kwa bulk purchase only

SOWETO MAN

Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
28
Reaction score
35
Habari wana jukwaa,

Mimi ni mkulima na mfanya biashara mdogo wa zao la zabibu na mzalishaji pia wa wine..Nina habari njema kwa wale wanao hitaji kununua Mchuzi wa Wine(Mvinyo) halisi wa Dodoma wenye umri wa miezi mitano (5) sasa ..kwa kiwango cha kuanzia lita 500 na kuendelea kwani nauza kwa bulk kwa gharama ya sh.4500 tu kwa kila lita moja, Napatikana Dodoma na kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia namba 0621599120. Asanteni na karibuni sana.
 
Back
Top Bottom