Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,513
- 2,753
We ni noma. Nimecheka sana.
Hujanizi mimi aiseeeee nimecheka huyo jamaa sitaki hata kuliona jina lake tena
We ni noma. Nimecheka sana.
Si umeshaambiwa ni BULLDOG!!?..yani hapohapo ni mbwa na n'gombe pia
Si umeshaambiwa ni BULLDOG!!?..yani hapohapo ni mbwa na n'gombe pia
Hapa ni jumla akuna lejaleja km uwezi jikatae
wadau mimi pia nauza mbwa ni wazur na wakal sana wana miez miwil bei ni elf 40,pungufu unaongea
wadau mimi pia nauza mbwa ni wazur na wakal sana wana miez miwil bei ni elf 40,pungufu unaongea
kwa hiyo mi nikimnunua kwa bei hiyo nikitaka kumuuza rejareja(mishkaki) atafaa??? laki6 zitarudi? hasa huku iringaaaHapa ni jumla akuna lejaleja
kwa hiyo mi nikimnunua kwa bei hiyo nikitaka kumuuza rejareja(mishkaki) atafaa??? laki6 zitarudi? hasa huku iringaaa
Cheka sana.Duuuh!hii kal
alafu muuzaji naye yupo very fun hata picha hataki kuweka!