Nauza mbao reject kiasi cha Fuso moja

Nauza mbao reject kiasi cha Fuso moja

SOKONI

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
171
Reaction score
40
Wakuu,Hodi,

Nina mzigo wa mbao (reject) kiasi cha fuso moja nauza kwa anayehitaji au kama unafahamu wanunuzi tafadhali nijulishe.
 
Mbao ni aina gani? Na size gani?pisi ngapi fafanua
 
Wakuu,Hodi,

Nina mzigo wa mbao (reject) kiasi cha fuso moja nauza kwa anayehitaji au kama unafahamu wanunuzi tafadhali nijulishe.

Mkuu mzigo ni wako au umeambiwa tu kuna mzigo?
pnauliza hivyo maana nashundwa kujua unakimbilia wapi kuweka Tangazo linaloeleweka

Mkuu mzigo upo maeneo gani, hata kama ni Dar plz taja sehemu
una mbao za aina gani?, mninga, mkongo, cyprus, nk
nimmbao za size gan?
bei ikoje?
na mwisho weka mawasiliano yako
 
Samahani kiongozi kwa mapungufu hayo,mzigo nimeununua na upo mafinga, na popote nitakapo pata mnunuzi nitapeleka kama tutakubaliana bei. Sikuweka bei kwakuwa itategemea na mnunuzi yupo pande gani za tanzania. mbao ni soft wood. size ni 1x4, 2 x 4,1x6 mchanganyiko sijazisort.
 
Samahani kiongozi kwa mapungufu hayo,mzigo nimeununua na upo mafinga, na popote nitakapo pata mnunuzi nitapeleka kama tutakubaliana bei. Sikuweka bei kwakuwa itategemea na mnunuzi yupo pande gani za tanzania. mbao ni soft wood cypress. size ni 2 x 4

Asante mkuu japo hujakamilisha maelezo, hizo mbao ni treated, weka namba yako bac
 
Riject zipo kwenye hali gani vipimo vidogo au zimevunjika au za zamani sana mkuu fafanua
 
Riject zipo kwenye hali gani vipimo vidogo au zimevunjika au za zamani sana mkuu fafanua
ndo zimetoka kwenye mashine,ziko safi sana. Zimechanwa kwa mashine kubwa sana,kiukweli ukiziona ni zaidi ya mbao zilizochanwa kwa mkono, tunaita reject kwa sababu hazikufikia kiwango cha export requirements za wateja wetu na zina some small defects.
 
wakuu,hodi,

nina mzigo wa mbao (reject) kiasi cha fuso moja nauza kwa anayehitaji au kama unafahamu wanunuzi tafadhali nijulishe.

Cheki na mamalishe pale buguruni huwa wanazitumia kama kuni
 
Cheki na mamalishe pale buguruni huwa wanazitumia kama kuni
hahahaahaaa mkuu hii kitu inaitwa reject kwa sababu haiku meet specifications za export,na ni bora kuliko unazouziwa buguruni kwa futi za wizi za mchina. angalia usije ukafa na tai shingoni,mjini hapa.
 
nijibu kama kwa hapo mafinga hatuwezi kufanya biashara?
 
ndo zimetoka kwenye mashine,ziko safi sana. Zimechanwa kwa mashine kubwa sana,kiukweli ukiziona ni zaidi ya mbao zilizochanwa kwa mkono, tunaita reject kwa sababu hazikufikia kiwango cha export requirements za wateja wetu na zina some small defects.

Aaah umeharibu soko kaka.....usiziite "REJECT" ziite "FOR LOCAL USAGE"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom