Nauza mayai ya Kware

Nauza mayai ya Kware

Mwana Mwema

Senior Member
Joined
Nov 15, 2012
Posts
144
Reaction score
133
Habarini wana jamvi.. leo nimekuja na habari njema, ninauza mayai ya kware.. ni mazuri sana kwa afya, kwa yeyote atakayehitaji naomba ani PM(private message) ili nichukue order yake na nimpe maelekezo jinsi ya kuyapata ila kiufupi yanapatikana Tabata!!
 
Ni nini uzuri wa hayo mayai kiafya. Nitahakikije kuwa ni mayi ya kware.

Manake kuna vikuku unyaturuni vinataga viyai vidogo
 
Back
Top Bottom