Ndiyounafuga mwenyewe?
Unaweza supply kuku 200? kwa wiki?kwa muda wa miezi mitatu?Unauza bei ngapi kwa kilo?Ndiyo
Naweza kusupply ndiyo siuzi kwa kilo nauza kwa mmoja mmoja boss karibuUnaweza supply kuku 200? kwa wiki?kwa muda wa miezi mitatu?Unauza bei ngapi kwa kilo?
Wastani wana uzito wa kila ngapi na unauzaje kwa mmoja?Naweza kusupply ndiyo siuzi kwa kilo nauza kwa mmoja mmoja boss karibu
AsanteKuku wazuri hongera