Nauza majogoo ya kienyeji

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,271
532
Mimi ni mfugaji mdogo na ninauza majogoo ya kienyeji yanayoanza kuwika. Ni makubwa kwa size (breed kubwa). Yako kama 20 hivi na nataka kuyauza yote kwa mtu mmoja. Kama uko -interested unaweza kunitafuta kwa 0762413132. Bei maelewano.
 

Ansah Miles

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
392
173
Tafuta mdau ajuaye namba za simu ama mhusika pale Brekpoint utapata msaada au kama una uwezo wa kufika kama uko dar fika mwenyewe ufanye mambo.ubarikiweMimi ni mfugaji mdogo na ninauza majogoo ya kienyeji yanayoanza kuwika. Ni makubwa kwa size (breed kubwa). Yako kama 20 hivi na nataka kuyauza yote kwa mtu mmoja. Kama uko -interested unaweza kunitafuta kwa 0762413132. Bei maelewano.
 

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,787
9,115
Mimi ni mfugaji mdogo na ninauza majogoo ya kienyeji yanayoanza kuwika. Ni makubwa kwa size breed kubwa. (Yako kama 20 hivi) na nataka kuyauza yote kwa mtu mmoja. Kama uko -interested unaweza kunitafuta kwa 0762413132. Bei maelewano.

mfanyabiashara unatakiwa ueleweke. Hapo nilipofungia mabano inamaanisha hujui idadi kamili au?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom