captainJack
Member
- Jun 15, 2011
- 12
- 2
WanaJF wanaohitaji majogoo ninayo 200. Mengi kama 150@15000 na mengi new 50@25000. Haya ya 25000 ni makubwa sana. Karibu tupo Bunju. Ukichukua mengi unaletewa kwa DSM.nitaatach pics later
Picha please
Weka mawasiliano