Nauza majiko Sanifu ya mkaa

Nauza majiko Sanifu ya mkaa

Gharama ya kipikia mkaa na urahisi/uharaka wa kupika

Hili jiko ni cost efficient in terms of money and time kwa sababu linaokoa matumizi ya mkaa kwa 50% na zaidi pia linaokoa muda wa kupika, kama unatumia saa zima jikoni basi ukiwa na hili jiko utatumia dakika 35 tu.

Pia ni rafiki wa mazingira kwasababu halitachafua jikoni kwako kutokana na lilivyo undwa.

Mbali na kua na life span ya miaka mitano pia lina warranty ya mwaka mmoja.

Hapo inabaki wewe tu kufanya comparison kati Jikokoa na jiko la gas, by the way kila jiko lina nafasi yake.
 
MREJESHO: niliwasiliana na mr coolant baada ya bandiko lake. akanipa mwongozo na picha zaidi kupitia whatsap. juzi jioni nililipia (tena kwa bei punguzo) amenisafirishia kwa basi mwanza-ngara (km 400 kasoro kidogo). asubuhi ya leo jiko limemfikia mama toto japo mimi niko mkoa tofauti. ASANTE KWA UAMINIFU. nasubiri kuwaleteeni mrejaa wa ubora baada ya kulitumia.
 
Ahsante kwa mrejeho
 
Kwa wazoefu ninunue lipi Kati ya Jiko la gesi au hili
Lililo na matumizi nafuu na rahisi kulitumia
 
Heshima kwenu wakuu, ninauza majiko ya kisasa kabisa ya mkaa yaliyo buniwa US kwa madhumuni ya kukupunguzia matumizi ya mkaa na kukuokolea muda wa kukaa jikoni.

Jiko hili mbali ya kukupunguzia matumizi ya mkaa kwa zaidi ya 50% pia lina sifa zifuatazo;

1. Linapata joto hadi kufikia nyuzi joto 1000 litakalo kufanya upike haraka kwa kutumia mkaa kidogo.

2. Limetengenezwa na chuma imara (high-chromium laced grate) kinacho himili joto na kina matundu madogo madogo yatakayo kuwezesha kutumia hadi chenga chenga za mkaa.

3. Ceramic fiber insulation, hii inasaidia kutunza joto kali lililopo ndani ya jiko lisitoke nje ya jiko.

4. Easy ash-tray, hili ni sinia la kutunzia majivu na ku control joto. Kupitia kisinia hiki, jiko lako litabakia kua safi na unapopikia pia patabaki kua safi.

5. Jiko lina warranty ya mwaka mmja, ikitokea limeharibika utatengenezewa bure kabisa.....niamini mimi!!!

Bei ya jiko moja ni 110,000/= (laki moja na elfu kumi tu). Ukihitaji kuanzia majiko 10 nitakuuzia kwa bei ya jumla. Nakuletea popote ulipo Tanzania, usafiri juu yangu.

6ce2caa7cc6773aca3f802170c2a0ad1.jpg
26d401872384845358a178657ab0f463.jpg
fc394d38240098e7d66b6e5e06967b70.jpg
25eb7694b1950e27293ea08c71870ec7.jpg
c04347f5dcc62ba9fa5ffb41e3d415b2.jpg
fdfc59130666b8127c41fde15e6618bd.jpg

Mkuu bado unafanya hii biashara? Nahitaji majiko mawili Mbeya.
 
Nawashukuru sana wateja wangu wote mlioniunga mkono kwa kununua JIKOKOA bila shaka mna enjoy matumizi ya Jiko

Majiko bado yapo na ubora wake umeongezwa kwa 10% ili kuendelea kukidhi mahitaji ya mteja.

Warrant imeongezwa kutoka mwaka mmoja hadi miwili

Kama bado hujapata na unahitaji kua na Jikokoa basi tuwasiliane kwa namba hii 0683164636, nitakutumia Jiko popote ulipo Tanzania na Africa mashariki na kati kwa gharama zangu na kwa uaminifu ulio tukuka.

Karibuni sana!
 
Ni wk 2 tangu nimenunua Jiko hili lakini si kwa coolant, kwa muda huu mchache nimejikuta nimepunguza matumizi ya gesi kwa 75-80%. Sijajuta kununua hili jiko ingawa nilinunua kwa bei kubwa na kwa mkopo. Ni zuri Sana. Mkaa nlokuwa nao ulipaswa kuwa umeisha ndani ya wk hizi 2 kama ningeendelea kutumia Jiko la awali. Nilipika wali kwa sufuria la Lita 5, uliiva. Nilichemsha maji kiasi cha takriban lita 8-9 yalichemka(100C)
Sijutii kuwa na Jiko hili japo nilinunua kwa mkopo shs 160,000
Kama wataka gunia lako la mkaa likae kwa muda mrefu, usione uchungu au kuhisi unatapeliwa. Mie nipo Mbeya
 
Hapa ndipo watanzani mnapo nishinda tabia.
Yaani unatangaza biashara na kisa unaweka namba ya simu peke, badala ya kuweka picha na bei ya bidhaa....
 
Heshima kwenu wakuu, ninauza majiko ya kisasa kabisa ya mkaa yaliyo buniwa US kwa madhumuni ya kukupunguzia matumizi ya mkaa na kukuokolea muda wa kukaa jikoni.

Jiko hili mbali ya kukupunguzia matumizi ya mkaa kwa zaidi ya 50% pia lina sifa zifuatazo;

1. Linapata joto hadi kufikia nyuzi joto 1000 litakalo kufanya upike haraka kwa kutumia mkaa kidogo.

2. Limetengenezwa na chuma imara (high-chromium laced grate) kinacho himili joto na kina matundu madogo madogo yatakayo kuwezesha kutumia hadi chenga chenga za mkaa.

3. Ceramic fiber insulation, hii inasaidia kutunza joto kali lililopo ndani ya jiko lisitoke nje ya jiko.

4. Easy ash-tray, hili ni sinia la kutunzia majivu na ku control joto. Kupitia kisinia hiki, jiko lako litabakia kua safi na unapopikia pia patabaki kua safi.

5. Jiko lina warranty ya mwaka mmja, ikitokea limeharibika utatengenezewa bure kabisa.....niamini mimi!!!

Bei ya jiko moja ni 110,000/= (laki moja na elfu kumi tu). Ukihitaji kuanzia majiko 10 nitakuuzia kwa bei ya jumla. Nakuletea popote ulipo Tanzania, usafiri juu yangu.

6ce2caa7cc6773aca3f802170c2a0ad1.jpg
26d401872384845358a178657ab0f463.jpg
fc394d38240098e7d66b6e5e06967b70.jpg
25eb7694b1950e27293ea08c71870ec7.jpg
c04347f5dcc62ba9fa5ffb41e3d415b2.jpg
fdfc59130666b8127c41fde15e6618bd.jpg
Haya majiko bado yapo?
 
Ni wk 2 tangu nimenunua Jiko hili japo si kwa coolant, kwa muda huu mchache nimejikuta nimepunguza matumizi ya gesi kwa 75-80%. Sijajuta kununua Jiko jilo ingawa nilinunua kwa bei kubwa japo kwa mkopo. Ni zuri Sana. Mkaa nlokuwa nao ulipaswa kuwa umeisha ndani ya wk 2 tangu nimenunua Jiko hilo Kama ningeendelea kutumiae Jiko la awali. Nilipika wali kwa sufuria la Lita 5, uliiva. Nilichemsha maji kiasi cha takriban lita 8-9 yalichemka(100C)
Sijutii kuwa na Jiko hili japo nilinunua kwa mkopo shs 160,000
Kama wataka gunia lako la mkaa likae kwa muda mrefu, usione uchungu au kuhisi unatapeliwa. Mie nipo Mbeya

Mkuu asante kwa ushuhuda wako, pia pole kwa kuuziwa jiko kwa bei kubwa!
 
Hapa ndipo watanzani mnapo nishinda tabia.
Yaani unatangaza biashara na kisa unaweka namba ya simu peke, badala ya kuweka picha na bei ya bidhaa....

angalia vizuri nimeweka kila kitu.
 
MREJESHO: niliwasiliana na mr coolant baada ya bandiko lake. akanipa mwongozo na picha zaidi kupitia whatsap. juzi jioni nililipia (tena kwa bei punguzo) amenisafirishia kwa basi mwanza-ngara (km 400 kasoro kidogo). asubuhi ya leo jiko limemfikia mama toto japo mimi niko mkoa tofauti. ASANTE KWA UAMINIFU. nasubiri kuwaleteeni mrejaa wa ubora baada ya kulitumia.
Mkuu za masiku , tafadhali ni muda sasa tunasubiria mrejesho nasi tuweze kufanya maamuzi sahihi

Ahsante
 
Wakuu majiko bado yapo, kwa wakazi wa dar tupo sabasaba karibu kabisa na banda la maliasili na utalii

ce180c8b-cec1-477c-8753-e6eccf2e4c80.jpg
 
Bei ni ileile!!
Nipigie 0683 164 636 na wewe upate la kwako kama Mwasiti
f7a8c4a4-dd30-4ecc-bb9c-76f84448415d.jpg
 
Back
Top Bottom