Asante, utanijulisha, niko kaeneo ya mwengeMkuu nakuletea jiko juma tano next week.
Asante sana kwa kuniunga!
Gharama itakua hiyo hiyo? Je utaratibu wa kulipa ukoje maana upo mbali namimi nipo mbali na ela hazimuamini mtuNakutumia mkuu, cha msingi nitumie namba yako
Nipo mbeya nalitaka ila mwisho wa mwezi aisee sema lipo bei kushinda la gas anyway sifa zake ni nzuriNipo Mbeya namba tutagutane
Poa tusubiri tarehe zetu zisogee mkuu ntakuchekiGharama haiongezeki, kama una mashaka unaweza kulipia nusu then ukipokea Jiko lako utamalizia nusu iliyobaki
samahani ni-inbox uliponunuaga na kwa bei gani?Hata mimi ninalo ,yako vizuri sana.
Morogoro unapatikana wapi?Morogoro na mwanza ila nitakutumia popote ulipo