Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

Sky-catcher

Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
13
Reaction score
0
Mnunuzi au wanunuzi wa mahindi ya njano kwa ajili ya matumizi ya binadamu anitafute nina mzigo. Mahindi yamelimwa bila ya mbolea za viwandani, dawa za kuulia wadudu, na yamehifadhiwa bila madawa.
Karibu, piga simu sasa 0717 618 074.
 

Attachments

  • IMG-20180817-WA0010.jpg
    IMG-20180817-WA0010.jpg
    61.3 KB · Views: 97
  • IMG-20180817-WA0011.jpg
    IMG-20180817-WA0011.jpg
    78 KB · Views: 91
  • IMG_20180821_101009.jpg
    IMG_20180821_101009.jpg
    113.7 KB · Views: 87
  • IMG_20180808_100116.jpg
    IMG_20180808_100116.jpg
    184.9 KB · Views: 92
Mnunuzi au wanunuzi wanaweza kunicheki tufanye biashara ya mahindi ya njano yakiyolimwa kwa kuzingatia mahitaji ya binadamu. Purely organic. Yamehifadhiwa bila madawa.
Nitafute kupitia namba 0717 618 074.
IMG_20180808_100105.jpg
IMG_20180821_101022.jpg
IMG_20180803_125044.jpg
 
Wanao uza huwa wanaweka bei, na wasiwasi kuwa wewe utakuwa unagawa hayo mahindi au ni dalali
 
Nas
Wanao uza huwa wanaweka bei, na wasiwasi kuwa wewe utakuwa unagawa hayo mahindi au ni dalali
Nashukuru kwa mchango wako BABA TUPAC. Natumaini sasa umeuliza. Bei kwa reja reja kilo ni sh. 1990, na jumla ni sh. 1610. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom