Nauza mahindi tani 20 Korogwe-Tanga

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,863
2,000
Wakuu habari zenu?....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ninamahindi tani 20 ambazo ni magunia 200 ya 100kg @.
Napatikana manundu korogwe kwa mwenye kuhitaji twaweza wasiliana pm au sim no.0621014069
Bei ni sh.500 kwa kilo 1
 
mpyonko

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
353
500
Wakuu habari zenu?....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ninamahindi tani 20 ambazo ni magunia 200 ya 100kg @.
Napatikana manundu korogwe kwa mwenye kuhitaji twaweza wasiliana pm au sim no.0621014069
Bei ni sh.500 kwa kilo 1
Kwa bei hiyo ungeendelea kusubiri maaana wenzio wanauza shil.300 mpaka 350 kwa kg tena wanayabeba mpaka sokoni
 
NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,696
2,000
Kweli mambo yamebadilika kwa mwendo huu mwakani silimi tena *****
Hahahah mkuu kweli mambo yanabadilika, pia ungejaribu soko la nje mfano hapo Tanga si mbali na kenya ungeweza uza kwa bei yenye faida kidogo.
 
TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,863
2,000
Hahahah mkuu kweli mambo yanabadilika, pia ungejaribu soko la nje mfano hapo Tanga si mbali na kenya ungeweza uza kwa bei yenye faida kidogo.

Nikweli mkuu ila mie ni mtumishi muda wakutoka tutafuta masoko nimtihani kwangu ngoja tu niendelee kuvuta subra
 
NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,696
2,000
Nikweli mkuu ila mie ni mtumishi muda wakutoka tutafuta masoko nimtihani kwangu ngoja tu niendelee kuvuta subra
Hapo lazima ukubali kushirikisha madalali tu huna namna, siku ukiwa off funga safari mpaka tanga mjini, ongea na madalali vizuri utauza hata kwa tsh 450 per kg wana network kubwa sana madalali huwezi kosa mteja labda mshindwane bei tu.
 
Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,948
2,000
Wakuu nina gunia zangu 120 nipo Korogwe pia, nahitaji mteja ndugu zangu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom