Nauza mahindi,shilingi 8500 @debe moja

swagy

Senior Member
Jan 23, 2018
131
201
Wakuu kwa ambaye anahitaji mahindi kwa ajili ya biashara au kuweka stock ili yakipanda bei auze Mimi ni nayo,ninagunia almost 70

Lakini pia kama utataka nikukusanyie hata kama ni gunia zaidi ya hapo naomba tuwasiliane,ninapatikana Bunda -Mara

Sitaweka namba yangu hapa ya simu ili kuepuka matapeli,kwa anayehitaji anifuate PM

Ahsanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zoote ulikuwa wapi wakati kilo ya unga Dar inafika 1,800. Watu wanaanza kuvuna ndo unaibuka? Soma alama za nyakati za biashara mkuu!
 
Wakuu kwa ambaye anahitaji mahindi kwa ajili ya biashara au kuweka stock ili yakipanda bei auze Mimi ni nayo,ninagunia almost 70

Lakini pia kama utataka nikukusanyie hata kama ni gunia zaidi ya hapo naomba tuwasiliane,ninapatikana Bunda -Mara

Sitaweka namba yangu hapa ya simu ili kuepuka matapeli,kwa anayehitaji anifuate PM

Ahsanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Bunda ni kubwa sehemu gan upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom