Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,944
😂😂😂😂 Sema tyuu pesa huna wala usimalize maneno MbagaBaby ww Mbona unapenda vitu vya ajabu hvy my au ww n zombie, em Angalia hapo mbele ya gari huoni linakaa kama kichwa cha nyoka my
😂😂😂😂 Sema tyuu pesa huna wala usimalize maneno MbagaBaby ww Mbona unapenda vitu vya ajabu hvy my au ww n zombie, em Angalia hapo mbele ya gari huoni linakaa kama kichwa cha nyoka my
Tukununulie?😂😂😂😂 mpare pesa ya kununua chuma hiko aitoe wapi??
3 bila na dakika zimebaki mbili tu😄😄🤣🤣🤣🤣 Hii haina comeback
Mimi sio chawa bana, machawa kina Mbaga na ndugu zake wa mbogamboga 😂😂😂Ninazo kiasi cha kunitosha tu ila machawa mnatamba mno kwa sasa😁😁
😂😂😂Gari nzuri sna ila hiyo pesa kipengele😊
Kumbe😁😁Mimi sio chawa bana, machawa kina Mbaga na ndugu zake wa mbogamboga 😂😂😂
Dakika za jioni na mpira umekwisha 😂😂😂3 bila na dakika zimebaki mbili tu😄😄
Atulie nyumbani tuMbaga Jr nanunuliwa gari sasa utanikoma 🤣🤣🤣
Wapare nawajua wakinunua kirikuu tu wanashusha vioo kinyama😁😁Dakika za jioni na mpira umekwisha 😂😂😂
😂😂😂Wapare nawajua wakinunua kirikuu tu wanashusha vioo kinyama😁😁
Mnunulie basiUsithubutu
Awe mpole sasaMnunulie basi
Wewe ndio uchakarike,Awe mpole sasa